Mathayo 24:17
Aliye juu ya paa la nyumba yake asishuke kuchukua kitu nyumbani mwake.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Let him which is on the housetop not come down to take any thing out of his house:
In Context
16hapo, walioko Yudea na wakimbilie milimani.
18Aliye shambani asirudi nyuma kuchukua vazi lake.
Cross References
Matthew 10:27Ninalowaambieni ninyi katika giza, lisemeni katika mwanga; na jambo mlilosikia likinong'onezwa, litangazeni hadharani.
Luke 5:19Lakini kwa sababu ya wingi wa watu, hawakuweza kuingia ndani. Basi, wakapanda juu ya dari, wakaondoa vigae, wakamshusha huyo aliyepooza pamoja na kitanda chake, wakamweka mbele ya Yesu.
Luke 17:31“Siku hiyo, yeyote atakayekuwa juu ya paa asishuke nyumbani kuchukua mali yake. Kadhalika, naye atakayekuwa shambani asirudi nyuma.