Mathayo 24:34
Nawaambieni kweli, kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo hayo yote kutukia.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Verily I say unto you, This generation shall not pass, till all these things be fulfilled.
In Context
33Hali kadhalika nanyi mtakapoona mambo haya yote yakitendeka, jueni kwamba yuko karibu sana.
35Naam, mbingu na dunia zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.
Cross References
Matthew 12:45huenda kuwachukua pepo wengine saba, wabaya kuliko yeye; na wote huja wakamwingia huyo mtu. Na hali ya mtu huyo sasa huwa mbaya kuliko hapo mwanzo. Ndivyo itakavyokuwa kwa watu hawa waovu.”
Matthew 23:36Nawaambieni kweli, kizazi hiki kitapata adhabu kwa sababu ya mambo haya.
Luke 11:50Matokeo yake ni kwamba kizazi hiki kitaadhibiwa kwa sababu ya damu ya manabii wote iliyomwagika tangu mwanzo wa ulimwengu;