Mathayo 24:40
Wakati huo watu wawili watakuwa shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Then shall two be in the field; the one shall be taken, and the other left.
In Context
41Kina mama wawili watakuwa wanasaga nafaka, mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.
Cross References
Luke 17:34Nawaambieni, siku ile usiku watu wawili watakuwa wanalala pamoja, mmoja atachukuliwa na yule mwingine ataachwa.
1 Corinthians 4:7Nani amekupendelea wewe? Una kitu gani wewe ambacho hukupewa? Na ikiwa umepewa, ya nini kujivunia kana kwamba hukukipewa?
2 Peter 2:7Alimwokoa Loti, mtu mwema, ambaye alisikitishwa sana na mwenendo mbaya wa watu hao waasi.