Mathayo 24:48
Lakini kama mtumishi mbaya akijisemea moyoni: Bwana wangu anakawia kurudi,
Biblia Takatifu
In The King James Version
But and if that evil servant shall say in his heart, My lord delayeth his coming;
In Context
47Kweli nawaambieni, atamweka mtumishi huyo aisimamie mali yake yote.
49kisha akaanza kuwapiga watumishi wenzake, akaanza kula na kunywa pamoja na walevi,
Cross References
Matthew 18:32Hapo yule bwana alimwita huyo mtumishi, akamwambia, Wewe ni mtumishi mbaya sana! Uliniomba, nami nikakusamehe deni lako lote.
Mark 7:21Kwa maana kutoka ndani, katika moyo wa mtu, hutoka mawazo mabaya, uasherati, wizi, uuaji,
Luke 19:22Naye akamwambia: Nakuhukumu kutokana na msemo wako, ewe mtumishi mbaya! Ulijua kwamba mimi ni mtu mkali, ambaye huchukua yasiyo yangu na kuchuma nisichopanda.