Mathayo 25:21
Bwana wake akamwambia, Vema, mtumishi mwema na mwaminifu. Umekuwa mwaminifu katika mambo madogo nitakukabidhi makubwa. Njoo ufurahi pamoja na bwana wako.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 10:40“Anayewakaribisha ninyi, ananikaribisha mimi; na anayenikaribisha mimi, anamkaribisha yule aliyenituma.
Matthew 24:47Kweli nawaambieni, atamweka mtumishi huyo aisimamie mali yake yote.
Matthew 25:34“Kisha Mfalme atawaambia wale walio upande wake wa kulia, Njoni enyi mliobarikiwa na Baba yangu; pokeeni Ufalme mliotayarishiwa tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
Luke 12:44Hakika atampa madaraka juu ya mali yake yote.
Luke 22:28“Ninyi ndio mliobaki nami wakati wote wa majaribu yangu;