Mathayo 26:43
Akawaendea tena, akawakuta wamelala, maana macho yao yalikuwa yamebanwa na usingizi.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he came and found them asleep again: for their eyes were heavy.
In Context
44Basi, akawaacha, akaenda tena kusali mara ya tatu kwa maneno yaleyale.
Cross References
Acts 20:9Kijana mmoja aitwaye Eutuko alikuwa ameketi dirishani wakati Paulo alipokuwa anaendelea kuhutubu. Eutuko alianza kusinzia kidogokidogo na hatimaye usingizi ukambana, akaanguka chini kutoka ghorofa ya tatu. Wakamwokota amekwisha kufa.
1 Thessalonians 5:6Basi, tusilale usingizi kama wengine; tunapaswa kukesha na kuwa na kiasi.