Mathayo 26:5
Lakini wakaamua jambo hilo lisifanyike wakati wa sikukuu, kusije kukatokea ghasia kati ya watu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
But they said, Not on the feast day, lest there be an uproar among the people.
In Context
4Wakashauriana jinsi ya kumtia Yesu nguvuni kwa hila wamuue.
6Yesu alipokuwa Bethania, nyumbani kwa Simoni, aitwaye Mkoma,
Cross References
Matthew 21:26Na tukisema, Yalitoka kwa watu, tunaogopa umati wa watu maana wote wanakubali kwamba Yohane ni nabii.”
Mark 14:2Lakini walisema, “Tusimtie nguvuni wakati wa sikukuu, watu wasije wakafanya ghasia.”
Mark 14:27Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Ninyi nyote mtakuwa na mashaka nami; maana Maandiko Matakatifu yasema: Nitampiga mchungaji nao kondoo watatawanyika.