Mathayo 26:62
Kuhani Mkuu akasimama, akamwuliza Yesu, “Je, hujibu neno? Watu hawa wanashuhudia nini dhidi yako?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
61wakasema, “Mtu huyu alisema: Ninaweza kuliharibu Hekalu la Mungu na kulijenga tena kwa siku tatu.”
Cross References
Mark 14:60Basi, Kuhani Mkuu akasimama katikati yao, akamwuliza Yesu, “Je, hujibu neno? Watu hawa wanashuhudia nini dhidi yako?”
John 18:19Basi, Kuhani akamwuliza Yesu juu ya wanafunzi wake na mafundisho yake.