Mathayo 26:66
Ninyi mwaonaje?” Wao wakamjibu, “Anastahili kufa!”
Biblia Takatifu
In The King James Version
What think ye? They answered and said, He is guilty of death.
In Context
67Kisha wakamtemea mate usoni, wakampiga makofi. Wengine wakiwa wanampiga makofi,
Cross References
Acts 7:52Je, yuko nabii yeyote ambaye baba zenu hawakumtesa? Waliwaua hao Mungu aliowatuma watangaze kuja kwake yule Mwenye Haki. Na sasa, ninyi mmemsaliti, mkamuua.
James 5:6Mmemhukumu na kumwua mtu asiye na hatia, naye hakuwapigeni.