Mathayo 26:7
mama mmoja aliyekuwa na chupa ya alabasta yenye marashi ya thamani kubwa, alimjia pale mezani alipokuwa amekaa kula chakula, akammiminia hayo marashi kichwani.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
6Yesu alipokuwa Bethania, nyumbani kwa Simoni, aitwaye Mkoma,
8Wanafunzi wake walipoona hayo wakakasirika, wakasema, “Ya nini hasara hii?
Cross References
Luke 7:46Wewe hukunionyesha ukarimu wako kwa kunipaka mafuta kichwani, lakini huyu mwanamke amefanya hivyo kwa kunipaka mafuta miguu yangu.