Mathayo 28:4
Walinzi wa lile kaburi wakatetemeka kwa hofu kubwa, hata wakawa kama wamekufa.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And for fear of him the keepers did shake, and became as dead men.
In Context
3Alionekana kama umeme na mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji.
Cross References
Matthew 27:65Pilato akawaambia, “Haya, mnao walinzi; nendeni mkalinde kadiri mjuavyo.”
Acts 9:3Lakini alipokuwa njiani karibu kufika Damasko, ghafla mwanga kutoka angani ulimwangazia pande zote.
Revelation 1:17Basi, nilipomwona tu, nilianguka mbele ya miguu yake kama maiti. Lakini yeye akaweka mkono wake wa kulia juu yangu, akasema, “Usiogope! Mimi ni wa kwanza na wa mwisho.