Mathayo 6:21
Maana pale ilipo hazina yako, ndipo pia utakapokuwa moyo wako.
Biblia Takatifu
In The King James Version
For where your treasure is, there will your heart be also.
In Context
20Jiwekeeni hazina mbinguni ambako nondo na kutu hawawezi kuiharibu, wala wezi hawaingii wakaiba.
22“Jicho ni taa ya mwili. Kama jicho lako ni zima, mwili wako wote utakuwa katika mwanga.
Cross References
Luke 12:34Pale ilipo hazina yako, ndipo pia utakapokuwa moyo wako.
Romans 7:5Maana, tulipokuwa tukiishi kimaumbile tu, tamaa mbaya zikichochewa na Sheria, zilifanya kazi katika miili yetu, na kuchuma pato la kifo.
Colossians 3:1Basi, ikiwa mmefufuka pamoja na Kristo, panieni mambo ya juu, kule Kristo aliko, ameketi upande wa kulia wa Mungu.
Philemon 1:19Naandika jambo hili kwa mkono wangu mwenyewe: Mimi Paulo nitalipa! (Tena sina haja ya kusema kwamba wewe unalo deni kwangu la nafsi yako.)