Mathayo 7:20
Kwa hiyo, mtawatambua kwa matendo yao.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Wherefore by their fruits ye shall know them.
In Context
19Kila mti usiozaa matunda mema utakatwa na kutupwa motoni.
Cross References
Acts 5:38Na sasa pia mimi nawaambieni, msiwachukulie watu hawa hatua yoyote; waacheni! Kwa maana, ikiwa mpango huu au shughuli hii yao imeanzishwa na binadamu, itatoweka yenyewe.