Mathayo 7:23
Hapo nitawaambia: Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni mbele yangu, enyi watenda maovu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And then will I profess unto them, I never knew you: depart from me, ye that work iniquity.
In Context
Cross References
Matthew 25:12Lakini yeye akawajibu, Nawaambieni kweli, siwajui ninyi.”
Luke 13:25“Wakati utakuja ambapo mwenye nyumba atainuka na kufunga mlango. Ninyi mtasimama nje na kuanza kupiga hodi mkisema: Bwana, tufungulie mlango. Lakini yeye atawajibu: Sijui mmetoka wapi.
John 10:14Mimi ni mchungaji mwema. Nawajua walio wangu, nao walio wangu wananijua mimi,
2 Timothy 2:19Lakini msingi thabiti uliowekwa na Mungu uko imara, na juu yake yameandikwa maneno haya: “Bwana anawafahamu wale walio wake,” na “Kila asemaye yeye ni wa Bwana, ni lazima aachane na uovu.”