Mathayo 7:28
Yesu alipomaliza kusema maneno hayo, umati wa watu ukashangazwa na mafundisho yake.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And it came to pass, when Jesus had ended these sayings, the people were astonished at his doctrine:
In Context
29Hakuwa kama walimu wao wa Sheria, bali alifundisha kwa mamlaka.
Cross References
Matthew 13:53Yesu alipomaliza kusema mifano hiyo alitoka mahali hapo,
Matthew 22:33Ule umati wa watu uliposikia hivyo ukayastaajabia mafundisho yake.
Mark 1:22Watu wote waliomsikia walishangazwa na mafundisho yake, maana hakuwa anafundisha kama walimu wao wa Sheria, bali kama mtu mwenye mamlaka.
Mark 11:18Makuhani wakuu na walimu wa Sheria waliposikia hayo, walianza kutafuta njia ya kumwangamiza. Lakini walimwogopa kwa sababu umati wa watu ulishangazwa na mafundisho yake.
Luke 4:32Wakastaajabia uwezo aliokuwa nao katika kufundisha.