bible.software › Mathayo › Mathayo 7 › Mathayo 7:4
Mathayo 7:4
Au, wawezaje kumwambia ndugu yako, Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako, wakati wewe mwenyewe unayo boriti jichoni mwako?
Biblia Takatifu
In The King James Version
Or how wilt thou say to thy brother, Let me pull out the mote out of thine eye; and, behold, a beam is in thine own eye?
In Context
3Kwa nini wakiona kibanzi kilicho jichoni mwa ndugu yako, na papo hapo huioni boriti iliyoko jichoni mwako?
5Mnafiki wewe! Ondoa kwanza boriti iliyoko jichoni mwako na hapo ndipo utaona waziwazi kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilichoko jichoni mwa ndugu yako.
Read all of Mathayo 7
Cross References
Matthew 23:24Viongozi vipofu! Mnatoa nzi katika kinywaji, lakini mnameza ngamia!
This Verse In Other Editions
Study Mathayo 7:4