Mathayo 7:6
“Msiwape mbwa vitu vitakatifu wasije wakageuka na kuwararua ninyi; wala msiwatupie nguruwe lulu zenu wasije wakazikanyaga.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
7“Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtapata; bisheni, nanyi mtafunguliwa.
Cross References
Matthew 15:26Yesu akamjibu, “Si sawa kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.”
Matthew 24:10Tena, wengi wataiacha imani yao, watasalitiana na kuchukiana.
2 Corinthians 11:26Kila mara safarini nimekabiliwa na hatari za mafuriko ya mito, na hatari za wanyama; hatari kutoka kwa wananchi wenzangu na kutoka kwa watu wa mataifa mengine; hatari za mjini, hatari za porini, hatari za baharini, hatari kutoka kwa ndugu wa uongo
2 Timothy 4:14Yule sonara aitwaye Aleksanda amenitendea maovu mengi; Bwana atamlipa kufuatana na hayo matendo yake.