Mathayo 7:8
Maana, aombaye hupewa, atafutaye hupata, na abishaye hufunguliwa.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
7“Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtapata; bisheni, nanyi mtafunguliwa.
9Je, kuna yeyote miongoni mwenu ambaye mtoto wake akimwomba mkate, atampa jiwe?
Cross References
Matthew 15:22Basi, mama mmoja Mkaanani wa nchi hiyo alimjia, akapaaza sauti: “Mheshimiwa, Mwana wa Daudi, nionee huruma! Binti yangu anasumbuliwa na pepo.”
John 2:2naye Yesu alikuwa amealikwa arusini pamoja na wanafunzi wake.
Acts 9:11Naye Bwana akamwambia, “Jitayarishe uende kwenye barabara inayoitwa Barabara ya Moja kwa Moja, na katika nyumba ya Yuda umtake mtu mmoja kutoka Tarso aitwaye Saulo. Sasa anasali;