Mathayo 9:25
Basi, umati wa watu ulipoondolewa, Yesu aliingia ndani, akamshika huyo msichana mkono, naye akasimama.
Biblia Takatifu
In The King James Version
But when the people were put forth, he went in, and took her by the hand, and the maid arose.
In Context
24akasema, “Ondokeni hapa! Msichana huyu hakufa, amelala tu.” Nao wakamcheka.
26Habari hiyo ikavuma sana katika nchi ile yote.
Cross References
Mark 5:41Kisha akamshika mkono, akamwambia, “Talitha, kumi,” maana yake, “Msichana, nakwambia, amka!”
Mark 9:27Lakini Yesu akamshika mkono, akamwinua, naye akasimama.
Acts 9:40Petro aliwatoa nje wote, akapiga magoti, akasali. Kisha akamgeukia yule maiti, akasema, “Tabitha, amka” Naye akafumbua macho yake na alipomwona Petro, akaketi.