Mathayo 9:36
Basi, alipowaona watu, makundi kwa makundi, aliwaonea huruma kwa sababu walikuwa hoi na wenye wasiwasi kama kondoo wasio na mchungaji.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
37Hapo akawaambia wanafunzi wake, “Mavuno ni mengi, lakini wavunaji ni wachache.
Cross References
Matthew 10:6Ila nendeni kwa watu wa Israeli waliopotea kama kondoo.
Matthew 15:24Yesu akajibu, “Sikutumwa ila kwa watu wa Israeli waliopotea kama kondoo.”