Filemoni 1:2
na kanisa linalokutana nyumbani kwako, na wewe dada Afia, na askari mwenzetu Arkupo.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And to our beloved Apphia, and Archippus our fellowsoldier, and to the church in thy house:
In Context
3Tunawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwana yesu Kristo.
Cross References
Romans 16:5Salamu zangu pia kwa kanisa linalokutana nyumbani kwao. Salamu zangu zimfikie rafiki yangu Epaineto ambaye ni kwa kwanza katika mkoa wa Asia kumwamini Kristo.
Colossians 4:17Mwambieni Arkipo aitekeleze vizuri ile huduma aliyokabidhiwa na Bwana.