Ufunuo 11:13
Wakati huohuo, kukatokea tetemeko kubwa la ardhi, sehemu moja ya kumi ya ardhi ikaharibiwa. Watu elfu saba wakauawa kwa tetemeko hilo la ardhi. Watu waliosalia wakaogopa sana, wakamtukuza Mungu wa mbinguni.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
14Maafa ya pili yamepita; lakini tazama! Maafa ya tatu yanafuata hima.
Cross References
Acts 1:15Siku chache baadaye, kulikuwa na mkutano wa waumini, karibu watu mia moja na ishirini. Petro alisimama mbele yao,
Revelation 6:12Kisha nikatazama, na wakati Mwanakondoo alipouvunja mhuri wa sita, kukawa na tetemeko kubwa la ardhi; jua likawa jeusi kama gunia; mwezi wote ukawa mwekundu kama damu;
Revelation 8:9theluthi moja ya viumbe vya baharini vikafa na theluthi moja ya meli zikaharibiwa.