Ufunuo 2:22
Sikiliza! Sasa namtupa kitandani ambapo yeye pamoja na wote waliofanya uzinzi naye watapatwa na mateso makali. Naam, nitafanya hivyo, kama wasipotubu matendo yao mabaya waliyotenda naye.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
21Nimempa muda wa kutubu dhambi zake, lakini hataki kuachana na uzinzi wake.
Cross References
Luke 13:5Nawaambieni sivyo; lakini nanyi msipotubu, mtaangamia kama wao.”
2 Timothy 2:25ambaye ni mpole anapowaonya wapinzani wake, kwani huenda Mungu akawajalia nafasi ya kutubu, wakapata kuujua ukweli.