Ufunuo 2:28
Tena nitawapa nyota ya asubuhi.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And I will give him the morning star.
In Context
29“Aliye na masikio, basi, na ayasikie yale Roho anayoyaambia makanisa!
Cross References
Luke 1:78Mungu wetu ni mpole na mwenye huruma. Atasababisha pambazuko angavu la ukombozi litujie kutoka juu,
Revelation 22:16“Mimi, Yesu, nimemtuma malaika wangu awathibitishieni mambo haya katika makanisa. Mimi ni mzawa wa ukoo wa Daudi. Mimi ni nyota angavu ya asubuhi!”