Warumi 1:2
Hapo kale, Mungu aliwaahidia watu hii Habari Njema kwa njia ya manabii wake katika Maandiko Matakatifu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
(Which he had promised afore by his prophets in the holy scriptures,)
In Context
Cross References
Luke 1:70Aliahidi hapo kale kwa njia ya manabii wake watakatifu,
Acts 10:43Manabii wote waliongea juu yake kwamba kila mtu atakayemwamini atasamehewa dhambi zake zote kwa jina lake.”
Romans 3:2Naam, iko faida kwa kila upande. Kwanza, Mungu aliwakabidhi Wayahudi ujumbe wake.
Romans 16:26Lakini, sasa ukweli huo umefunuliwa kwa njia ya maandiko ya manabii; na kwa amri ya Mungu wa milele umedhihirisha kwa mataifa yote ili wote waweze kuamini na kutii.