Warumi 1:7
Basi, ninawaandikia ninyi nyote mlioko Roma ambao Mungu anawapenda, akawateua muwe watu wake. Nawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
6Ninyi ni miongoni mwa watu hao; mmeitwa muwe watu wake Yesu Kristo.
Cross References
Matthew 6:8Msiwe kama wao. Baba yenu anajua mnayoyahitaji hata kabla ya kumwomba.
Acts 7:59Waliendelea kumpiga mawe Stefano, huku akiwa anasali: “Bwana Yesu, ipokee roho yangu!”
Romans 1:6Ninyi ni miongoni mwa watu hao; mmeitwa muwe watu wake Yesu Kristo.
Romans 8:39Wala ulimwengu wa juu, wala wa chini kabisa. Hakuna kiumbe chochote kitakachoweza kututenga na upendo wa Mungu kwetu kwa njia ya Kristo Yesu Bwana wetu.