Warumi 11:20
Sawa! Yalikatwa kwa sababu ya kukosa imani, bali wewe unasimama kwa imani yako. Lakini usijivune; ila uwe na tahadhari.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
19Lakini utasema: “Matawi yalikatwa kusudi mimi nipandikizwe mahali pake.”
Cross References
Luke 18:14Nawaambieni, huyu mtoza ushuru alirudi nyumbani akiwa amesamehewa. Lakini yule mwingine, sivyo. Kwa maana kila anayejikweza atashushwa, na kila anayejishusha atakwezwa.”