Warumi 12:11
Msilegee katika bidii, muwe wachangamfu rohoni katika kumtumikia Bwana.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Not slothful in business; fervent in spirit; serving the Lord;
In Context
10Pendaneni kidugu; kila mmoja amfikirie mwenzake kwanza kwa heshima.
12Tumaini lenu liwaweke daima wenye furaha; muwe na saburi katika shida na kusali daima.
Cross References
Matthew 25:26“Bwana wake akamwambia, Wewe ni mtumishi mwovu na mvivu! Unajua kuwa mimi huvuna mahali ambapo sikupanda, na hukusanya pale ambapo sikutawanya.