Warumi 14:12
Kwa hiyo, kila mmoja wetu atatoa hoja yake mbele ya Mungu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
So then every one of us shall give account of himself to God.
In Context
Cross References
Matthew 16:27Maana, Mwana wa Mtu atakuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika wake, na hapo ndipo atakapomlipa kila mtu kadiri ya matendo yake.
Luke 16:2Yule tajiri akamwita akamwambia: Ni mambo gani haya ninayosikia juu yako? Toa hesabu ya mapato na matumizi ya mali yangu, kwa maana huwezi kuwa karani tena.
1 Peter 4:5Lakini watapaswa kutoa hoja juu ya jambo hilo mbele yake Mungu aliye tayari kuwahukumu wazima na wafu!