bible.software › Warumi › Warumi 14 › Warumi 14:16
Warumi 14:16
Basi, msikubalie kitu mnachokiona kuwa kwenu ni kitu chema kidharauliwe.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Let not then your good be evil spoken of:
In Context
15Kama ukimhuzunisha ndugu yako kwa sababu ya chakula unachokula, basi mwenendo wako hauongozwi na mapendo. Usikubali hata kidogo chakula chako kiwe sababu ya kupotea kwa mtu mwingine ambaye Kristo alikufa kwa ajili yake!
17Maana Utawala wa Mungu si shauri la kula na kunywa, bali unahusika na kuwa na uadilifu, amani na furaha iletwayo na Roho Mtakatifu.
Read all of Warumi 14
Cross References
1 Corinthians 10:29Nasema, “kwa ajili ya dhamiri,” si dhamiri yenu, bali dhamiri yake huyo aliyewaambieni. Mtaniuliza: “Kwa nini uhuru wangu utegemee dhamiri ya mtu mwingine?
1 Thessalonians 5:22na epukeni kila aina ya uovu.
This Verse In Other Editions
Study Warumi 14:16