Warumi 14:6
Anayeadhimisha siku fulani anaadhimisha siku hiyo kwa ajili ya kumtukuza Mungu; naye anayekula chakula fulani anafanya hivyo kwa kumtukuza Bwana maana anamshukuru Mungu. Kadhalika naye anayeacha kula chakula fulani anafanya hivyo kwa ajili ya kumtukuza Bwana, naye pia anamshukuru Mungu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 14:19Akawaamuru watu waketi katika nyasi. Kisha akaitwaa ile mikate mitano na wale samaki wawili, akatazama juu mbinguni, akamshukuru Mungu. Halafu akaimega hiyo mikate, akawapa wanafunzi wake, nao wakawapa watu.
John 6:28Wao wakamwuliza, “Tufanye nini ili tuweze kuzitenda kazi za Mungu?”
Galatians 4:10Bado mnaadhimisha siku, miezi na miaka!