Warumi 3:17
njia ya amani hawaijui.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And the way of peace have they not known:
In Context
16popote waendapo husababisha maafa na mateso;
18Hawajali kabisa kumcha Mungu.”
Cross References
Matthew 7:14Lakini njia inayoongoza kwenye uzima ni nyembamba, na mlango wa kuingilia humo ni mwembamba; ni watu wachache tu wanaoweza kuigundua njia hiyo.
Romans 5:1Sasa, kwa vile tumekubaliwa kuwa wadilifu kwa imani, basi, tunayo amani na Mungu kwa ajili ya Bwana wetu Yesu Kristo.