Warumi 7:16
Ikiwa basi, ninatenda kinyume cha matakwa yangu, hii inamaanisha kwamba nakubali kuwa ile Sheria ni nzuri.
Biblia Takatifu
In The King James Version
If then I do that which I would not, I consent unto the law that it is good.
In Context
15Sielewi nifanyacho, maana kile ninachotaka sikifanyi, bali kile ninachochukia ndicho nikifanyacho.
17Basi, si mimi hasa ninayefanya kitu hicho, bali ile dhambi iliyo ndani yangu.
Cross References
Romans 7:14Tunajua kwamba Sheria ni ya kiroho, lakini mimi ni wa kidunia, mimi nimeuzwa kuwa mtumwa wa dhambi.
1 Timothy 1:8Twajua kwamba Sheria ni njema, kama ikitumiwa ipasavyo.