Warumi 8:14
Wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu ni watoto wa Mungu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
For as many as are led by the Spirit of God, they are the sons of God.
In Context
Cross References
John 1:12Lakini wale wote waliompokea na kumwamini, hao aliwapa uwezo wa kuwa watoto wa Mungu.
Romans 8:9Lakini ninyi hamuishi kufuatana na matakwa ya mwili, bali kufuatana na matakwa ya Roho, ikiwa Roho wa Mungu anaishi ndani yenu. Yeyote asiye na Roho wa Kristo, huyo si wake Kristo.
Romans 8:19Viumbe vyote vinatazamia kwa hamu Mungu awadhihirishe watoto wake.
Romans 9:26Na pale walipoambiwa: Ninyi si wangu hapo wataitwa: Watoto wa Mungu hai.”