bible.software › Warumi › Warumi 8 › Warumi 8:28
Warumi 8:28
Tunajua kwamba, katika mambo yote, Mungu hufanya kazi na kuifanikisha pamoja na wote wampendao, yaani wale aliowaita kufuatana na kusudi lake.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And we know that all things work together for good to them that love God, to them who are the called according to his purpose.
In Context
27Naye Mungu aonaye mpaka ndani ya mioyo ya watu, anajua fikira ya huyo Roho; kwani huyo Roho huwaombea watu wa Mungu kufuatana na mapenzi ya Mungu.
29Maana hao aliowachagua tangu mwanzo, ndio aliowateua wapate kufanana na Mwanae, ili Mwana awe wa kwanza miongoni mwa ndugu wengi.
Read all of Warumi 8
Cross References
Mark 12:30Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa akili yako yote na kwa nguvu zako zote.
This Verse In Other Editions
Study Warumi 8:28