Tito 2:15
Basi, fundisha mambo hayo na tumia mamlaka yako yote ukiwahimiza na kuwaonya wasikilizaji wako. Mtu yeyote na asikudharau.
Biblia Takatifu
In The King James Version
These things speak, and exhort, and rebuke with all authority. Let no man despise thee.
In Context
Cross References
Mark 1:22Watu wote waliomsikia walishangazwa na mafundisho yake, maana hakuwa anafundisha kama walimu wao wa Sheria, bali kama mtu mwenye mamlaka.
Luke 4:36Watu wote wakashangaa, wakawa wanaambiana, “Hili ni jambo la ajabu, maana kwa uwezo na nguvu anawaamuru pepo wachafu watoke, nao wanatoka!”
1 Timothy 5:20Wale wanaotenda dhambi waonye hadharani, ili wengine wapate kuogopa.
Titus 1:13Naye alitoboa ukweli kwa sababu hiyo, unapaswa kuwakaripia vikali, ili wawe na imani kamilifu.