1 Chronicles · Biblia (Kiswahili)

1 Chronicles 1

1Adamu, Sethi, Enoshi,

2Kenani, Mahalaleli, Yaredi,

3Enoki, Methusela, Lameki, Noa. 1

4Wana wa Noa walikuwa: 2 Shemu, Hamu na Yafethi. 2 Wana Wa Yafethi 1

5Wana wa Yafethi walikuwa: 2 Gomeri, Magogu, Madai, Yavani, Tubali, Mesheki na Tirasi. 1

6Wana wa Gomeri walikuwa: 2 Ashkenazi, Rifathi na Togarma. 1

7Wana wa Yavani walikuwa: 2 Elisha, Tarshishi, Kitimu na Rodanimu. 2 Wana Wa Hamu 1

8Wana wa Hamu walikuwa: 2 Kushi, Misraimu, + 1:8 Yaani Misri. Putu na Kanaani. 1

9Wana wa Kushi walikuwa: 2 Seba, Havila, Sabta, Raama na Sabteka. 1 Wana wa Raama walikuwa: 2 Sheba na Dedani. 1

10Kushi akamzaa 2 Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa katika nchi. 1

11Misraimu akawazaa: 2 Waludi, Waanami, Walehabi, Wanaftuhi,

12Wapathrusi, Wakasluhi (hao ndio asili ya Wafilisti) na Wakaftori. 1

13Wana wa Kanaani walikuwa: 2 Sidoni, mzaliwa wake wa kwanza, na Hethi,

14Wayebusi, Waamori, Wagirgashi,

15Wahivi, Waariki, Wasini,

16Waarvadi, Wasemari na Wahamathi. 2 Wana Wa Shemu 1

17Wana wa Shemu walikuwa: 2 Elamu, Ashuru, Arfaksadi, Ludi na Aramu. 1 Wana wa Aramu walikuwa: 2 Usi, Huli, Getheri na Mesheki. 1

18Arfaksadi akamzaa Shela, 2 Shela akamzaa Eberi. 1

19Eberi alipata wana wawili: 2 Mmoja wao aliitwa Pelegi, + 1:19 Pelegi maana yake Mgawanyiko. kwa kuwa wakati wake dunia iligawanyika; nduguye aliitwa Yoktani. 1

20Wana wa Yoktani walikuwa: 2 Almodadi, Shelefu, Hasarmawethi, Yera,

21Hadoramu, Uzali, Dikla,

22Obali, Abimaeli, Sheba,

23Ofiri, Havila na Yobabu. Wote hawa walikuwa wana wa Yoktani. 2

24Wana wa Shemu walikuwa Arfaksadi, Shela, 2

25Eberi, Pelegi, Reu, 2

26Serugi, Nahori, Tera, 2

27Tera akamzaa Abramu (yaani, Abrahamu). 1 Jamaa Ya Abrahamu 1

28Abrahamu alikuwa na wana wawili: 2 Isaki na Ishmaeli. 2 Wazao Wa Hagari (Mwanzo 25:12-16) 1

29Hawa ndio waliokuwa wazao wa Hagari: 2 Nebayothi mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, Kedari, Adbeeli, Mibsamu,

30Mishma, Duma, Masa, Hadadi, Tema,

31Yeturi, Nafishi na Kedema. Hao ndio wana wa Ishmaeli. 2 Wazao Wa Ketura 1

32Wana waliozaliwa na Ketura suria wa Abrahamu walikuwa: 2 Zimrani, Yokshani, Medani, Midiani, Ishbaki na Shua. 1 Wana wa Yokshani walikuwa: 2 Sheba na Dedani. 1

33Wana wa Midiani walikuwa: 2 Efa, Eferi, Hanoki, Abida na Eldaa. 1 Wote hao walikuwa wa uzao wa Ketura. 2 Wazao Wa Sara 1

34Abrahamu alikuwa baba wa Isaki. 1 Wana wa Isaki walikuwa: 2 Esau na Israeli. 1 Wana Wa Esau (Mwanzo 36:1-19) 1

35Wana wa Esau walikuwa: 2 Elifazi, Reueli, Yeushi, Yalamu na Kora. 1

36Wana wa Elifazi walikuwa: 2 Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi; 2 Elifazi kwa Timna akamzaa Amaleki. 1

37Wana wa Reueli walikuwa: 2 Nahathi, Zera, Shama na Miza. 1 Watu Wa Seiri Waliokuwa Edomu (Mwanzo 36:20-30) 1

38Wana wa Seiri walikuwa: 2 Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana, Dishoni, Eseri na Dishani. 1

39Wana wa Lotani walikuwa wawili: 2 Hori na Homamu. Lotani alikuwa na dada yake aliyeitwa Timna. 1

40Wana wa Shobali walikuwa: 2 Alvani, + 1:40 Maandishi ya Kiebrania yanamwita Alian. Manahathi, Ebali, Shefo na Onamu. 1 Wana wa Sibeoni walikuwa: 2 Aiya na Ana. 1

41Mwana wa Ana alikuwa: 2 Dishoni. 1 Nao wana wa Dishoni walikuwa: 2 Hemdani, Eshbani, Ithrani na Kerani. 1

42Wana wa Eseri walikuwa: 2 Bilhani, Zaavani na Akani. 1 Wana wa Dishani walikuwa: 2 Usi na Arani. 2 Watawala Wa Edomu (Mwanzo 36:31-43) 1

43Hawa ndio wafalme waliotawala Edomu kabla hajatawala mfalme yeyote wa Waisraeli: 2 Bela mwana wa Beori, ambaye mji wake ni Dinhaba. 2

44Bela alipofariki, Yobabu mwana wa Zera kutoka Bosra akawa mfalme baada yake. 2

45Yobabu alipofariki, Hushamu kutoka nchi ya Watemani akawa mfalme baada yake. 2

46Hushamu alipofariki, Hadadi mwana wa Bedadi, aliyeshinda Midiani katika nchi ya Moabu, akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Avithi. 2

47Hadadi alipofariki, Samla kutoka Masreka akawa mfalme baada yake. 2

48Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ngʼambo ya Mto Frati, akawa mfalme baada yake. 2

49Shauli alipofariki, Baal-Hanani mwana wa Akbori akawa mfalme baada yake. 2

50Baal-Hanani alipofariki, Hadadi akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Pau, na mkewe aliitwa Mehetabeli binti Matredi, binti Me-Zahabu.

51Naye Hadadi pia akafa. 1 Wakuu wa Edomu walikuwa: 2 Timna, Alva, Yethethi,

52Oholibama, Ela, Pinoni,

53Kenazi, Temani, Mibsari,

54Magdieli na Iramu. Hao ndio wakuu wa makabila ya Edomu.

← 2 Kings 25Read In The App, Free →1 Chronicles 2 →

Study 1 Chronicles 1

KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)

All Chapters

1234567891011121314151617181920212223242526272829