1 Yohana 1:2
Uzima huo ulipotokea sisi tuliuona na sasa tunasema habari zake na kuwaambieni juu ya uzima huo wa milele uliokuwa kwa Baba na uliodhihirishwa kwetu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
John 1:1Hapo Mwanzo, Neno alikuwako; naye alikuwa na Mungu, naye alikuwa Mungu.
John 1:18Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wowote ule. Mwana wa pekee aliye sawa na Mungu ambaye ameungana na Baba, ndiye aliyetujulisha habari za Mungu.
John 7:29Lakini mimi namjua kwa sababu nimetoka kwake, naye ndiye aliyenituma.”
John 11:25Yesu akamwambia, “Mimi ndimi ufufuo na uzima. Anayeniamini mimi hata kama anakufa, ataishi:
John 15:27Nanyi pia mtanishuhudia kwa kuwa mmekuwa nami tangu mwanzo.
John 17:3Na uzima wa milele ndio huu: kukujua wewe uliye peke yako Mungu wa kweli, na kumjua Yesu Kristo uliyemtuma.