Yohana 11:25
Yesu akamwambia, “Mimi ndimi ufufuo na uzima. Anayeniamini mimi hata kama anakufa, ataishi:
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
24Martha akamjibu, “Najua kwamba atafufuka wakati wa ufufuo, siku ya mwisho.”
26na kila anayeishi na kuniamini, hatakufa kamwe. Je, waamini hayo?”
Cross References
Luke 23:43Yesu akamwambia, “Nakwambia kwa hakika, leo utakuwa pamoja nami peponi.”
John 3:36Anayemwamini Mwana anao uzima wa milele; asiyemtii Mwana hatakuwa na uzima wa milele, bali ghadhabu ya Mungu hubaki juu yake.”
John 5:26Kama vile Baba alivyo asili ya uhai, ndivyo pia alivyomjalia Mwanawe kuwa asili ya uhai.
John 6:39Na matakwa ya yule aliyenituma ndiyo haya: nisimpoteze hata mmoja kati ya wale alionipa, ila niwafufue wote Siku ya mwisho.