1 Yohana 2:25
Na ahadi aliyotuahidia sisi ndiyo hii: uzima wa milele.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And this is the promise that he hath promised us, even eternal life.
In Context
26Nimewaandikieni mambo haya kuhusu wale wanaotaka kuwapotosha ninyi.
Cross References
Luke 18:30atapokea mengi zaidi wakati huu wa sasa, na kupokea uzima wa milele wakati ujao.”
John 6:27Msikishughulikie chakula kiharibikacho; kishugulikieni chakula kidumucho kwa ajili ya uzima wa milele. Mwana wa Mtu ambaye Baba amemthibitisha atawapeni chakula hicho.”
John 6:54Anayekula mwili wangu na kunywa damu yangu anao uzima wa milele nami nitamfufua siku ya mwisho.
John 10:28Mimi nawapa uzima wa milele; nao hawatapotea milele, wala hakuna mtu atakayeweza kuwatoa mkononi mwangu.
John 17:2Maana ulimpa Mwanao mamlaka juu ya watu wote ili awape uzima wa milele wote hao uliompa.
Romans 5:21Kama vile dhambi ilivyotawala kwa kifo, kadhalika neema inatawala kwa njia ya uadilifu, na kuleta uzima wa milele kwa njia ya Yesu Kristo Bwana wetu.