1 Yohana 2:9
Yeyote asemaye kwamba yumo katika mwanga, lakini anamchukia ndugu yake, mtu huyo bado yumo gizani.
Biblia Takatifu
In The King James Version
He that saith he is in the light, and hateth his brother, is in darkness even until now.
In Context
Cross References
Romans 2:18kwa njia ya Sheria unajua matakwa ya Mungu na unaweza kuchagua jambo jema;
2 Peter 1:9Lakini mtu asiye na sifa hizo ni kipofu, hawezi kuona na amesahau kwamba alikwisha takaswa dhambi zake za zamani.
1 John 2:4Mtu akisema kwamba anamjua, lakini hazitii amri zake, basi mtu huyo ni mwongo, na ukweli haumo ndani yake.
1 John 3:13Basi, ndugu zangu, msishangae kama ulimwengu unawachukia ninyi.