Warumi 2:18
kwa njia ya Sheria unajua matakwa ya Mungu na unaweza kuchagua jambo jema;
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
17Na wewe, je? Wewe mwenyewe unajiita Myahudi; unaitumainia Sheria na kujivunia kuwa wa Mungu;
19wewe unajiona kuwa kiongozi wa vipofu na mwanga kwa wale walio gizani;
Cross References
Luke 12:47Mtumishi ambaye anajua matakwa ya bwana wake lakini hajiweki tayari kufanya anavyotakiwa, atapigwa sana.
Romans 15:4Maana yote yalioandikwa yameandikwa kwa ajili ya kutufundisha sisi ili kutokana na saburi na faraja tupewayo na Maandiko hayo Matakatifu tupate kuwa na matumaini.