1 Petro 3:13
Ni nani atakayeweza kuwadhuru ninyi kama mkizingatia kutenda mema?
Biblia Takatifu
In The King James Version
And who is he that will harm you, if ye be followers of that which is good?
In Context
Cross References
Romans 8:28Tunajua kwamba, katika mambo yote, Mungu hufanya kazi na kuifanikisha pamoja na wote wampendao, yaani wale aliowaita kufuatana na kusudi lake.
1 Corinthians 14:1Jitahidini kuwa na upendo. Vilevile fanyeni bidii ya kupata vipaji vingine vya kiroho, hasa kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu.
1 Thessalonians 5:15Angalieni mtu yeyote asimlipe mwingine maovu kwa maovu, ila nia yenu iwe kutendeana mema daima na kuwatendea mema watu wote.
3 John 1:11Mpenzi wangu, usifuate mfano mbaya, bali mfano mwema. Kila atendaye mema ni wa Mungu; lakini anayetenda mabaya hajapata kumwona Mungu.