1 Timotheo 1:6
Watu wengine wamepotoka na kugeukia majadiliano yasiyo na maana.
Biblia Takatifu
In The King James Version
From which some having swerved have turned aside unto vain jangling;
In Context
5Shabaha ya amri hii ni kuhimiza mapendo yatokayo katika moyo safi, dhamiri njema, na imani ya kweli.
7Wanapenda kuwa walimu wa Sheria, lakini hawaelewi maneno yao wenyewe au mambo wanayosisitiza.
Cross References
1 Timothy 5:15Kwa maana wajane wengine wamekwisha potoka na kumfuata Shetani.
1 Timothy 6:20Timotheo, tunza salama yote yale uliyokabidhiwa. Jiepushe na majadiliano ya kidunia na ubishi wa kipumbavu juu ya kile wanachokiita watu wengine: “Elimu”.
2 Timothy 2:23Epuka ubishi wa kijinga na kipumbavu; wajua kwamba hayo huleta magomvi.
Titus 1:10Maana, wako watu wengi, hasa wale walioongoka kutoka dini ya Kiyahudi, ambao ni wakaidi, wanaowapotosha wengine kwa upumbavu wao.