1 Timotheo 4:5
kwa sababu neno la Mungu na sala hukifanya kitu hicho kikubalike kwa Mungu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
For it is sanctified by the word of God and prayer.
In Context
Cross References
Luke 4:4Yesu akamjibu, “Imeandikwa: Mtu haishi kwa mkate tu.”
1 Corinthians 7:14Kwa maana huyo mume asiyeamini hupokelewa kwa Mungu kwa kuungana na mkewe; na huyo mke asiyeamini hupokelewa kwa Mungu kwa kuungana na mumewe. Vinginevyo watoto wao wangekuwa si wa Mungu; kumbe sasa ni watoto wake Mungu.
Titus 1:15Kila kitu ni safi kwa watu walio safi; lakini hakuna chochote kilicho safi kwa wale waliochafuliwa na wasioamini, maana dhamiri na akili zao zimechafuliwa.