2 Yohana 1:10
Basi, kama mtu akija kwenu bila kuwaleteeni mafundisho hayo, msimkaribishe nyumbani kwenu, wala msimsalimu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
11Maana anayemsalimu mtu huyo, anashirikiana naye katika matendo yake maovu.
Cross References
1 Corinthians 5:11Nilichoandika ni hiki: msishirikiane na ndugu Mkristo aliye mzinzi, mchoyo, mwenye kuabudu sanamu, mchongezi mlevi na mlaghai. Mtu wa namna hiyo, hata kula msile naye.
Galatians 1:8Lakini, hata kama mmoja wetu au malaika kutoka mbinguni, atawahubirieni Habari Njema tofauti na ile tuliyowahubirieni sisi, basi huyo na alaaniwe!
2 Thessalonians 3:14Huenda kwamba huko kuna mtu ambaye hatautii huu ujumbe tunaowapelekeeni katika barua hii. Ikiwa hivyo, basi, mfichueni mtu huyo na msiwe na uhusiano wowote naye kusudi aone aibu.
Titus 3:10Mtu anayesababisha mafarakano mpe onyo la kwanza na la pili, kisha achana naye.