Tito 3:10
Mtu anayesababisha mafarakano mpe onyo la kwanza na la pili, kisha achana naye.
Biblia Takatifu
In The King James Version
A man that is an heretick after the first and second admonition reject;
In Context
11Wajua kwamba mtu wa namna hiyo amepotoka kabisa, na dhambi zake zathibitisha kwamba amekosea.
Cross References
Romans 16:17Ndugu zangu, nawasihi muwafichue wote wanaosababisha mafarakano na kuwafanya watu wengine waanguke, kinyume cha mafundisho mliyofundishwa. Jiepusheni na watu hao,
1 Corinthians 11:19maana ni lazima fikira tofauti ziweko miongoni mwenu, ili wale walio thabiti wapate kutambulikana.
Galatians 5:12Laiti hao wanaowavurugeni wangejikatakata wenyewe!
2 Thessalonians 3:6Ndugu, tunawaamuru kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo, mjiepushe na ndugu wote walio wavivu na ambao hawafuati maagizo tuliyowapa.
2 Timothy 3:5Kwa nje wataonekana kama watu wenye kumcha Mungu, lakini wataikana nguvu yake. Jiepushe kabisa na watu wa namna hiyo.
2 John 1:10Basi, kama mtu akija kwenu bila kuwaleteeni mafundisho hayo, msimkaribishe nyumbani kwenu, wala msimsalimu.