2 Yohana 1:5
Basi, Bimkubwa, ninalo ombi moja kwako: tupendane. Ombi hili si amri mpya, bali ni amri ileile tuliyokuwa nayo tangu mwanzo.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
4Nilifurahi sana kuona kwamba baadhi ya watoto wako wanaishi katika ukweli kama Baba alivyotuamuru.
Cross References
John 13:34Nawapeni amri mpya: pendaneni; pendaneni kama nilivyowapenda ninyi.
Galatians 5:22Lakini matokeo ya kuongozwa na Roho ni mapendo, furaha, amani, uvumilivu, wema, fadhili, uaminifu,
1 Thessalonians 4:9Hakuna haja ya kuwaandikieni juu ya kuwapenda ndugu zenu waumini. Ninyi wenyewe mmefundishwa na Mungu namna mnavyopaswa kupendana.
1 Peter 1:22Maadamu sasa, kwa kuutii ukweli, ninyi mmezitakasa roho zenu na kuwapenda wenzenu bila unafiki, basi, pendaneni kwa moyo wote.
2 Peter 1:7udugu katika uchaji wenu, na mapendo katika udugu wenu.
1 John 3:11Na, ujumbe mliousikia tangu mwanzo ndio huu: Tunapaswa kupendana!