2 Timotheo 4:21
Fanya bidii kuja kabla ya majira ya baridi. Ebulo, Pude, Lino na Klaudia wanakusalimu; vilevile ndugu wengine wote.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
20Erasto alibaki Korintho, naye Trofimo nilimwacha Mileto kwa sababu alikuwa mgonjwa.
22Bwana awe nawe rohoni mwako. Nawatakieni nyote neema.
Cross References
Romans 16:21Timotheo, mfanyakazi mwenzangu, anawasalimu. Hali kadhalika Lukio, Yasoni, na Sosipatro, wananchi wenzangu, wanawasalimu.
2 Corinthians 13:13(G13-12) Watu wote wa Mungu huku wanawasalimuni.
2 Timothy 1:4Nakumbuka machozi yako na ninatamani usiku na mchana kukuona, ili nijazwe furaha.
2 Timothy 4:13Utakapokuja niletee koti langu nililoacha kwa Karpo kule Troa; niletee pia vile vitabu, na hasa vile vilivyotengenezwa kwa ngozi.
3 John 1:14Natumaini kukuona karibuni na hapo tutazungumza ana kwa ana. (G1-15) Nakutakia amani. Rafiki zako wanakusalimu. Wasalimu rafiki zetu wote kila mmoja binafsi.