Matendo 10:34
Hapo Petro akaanza kusema: “Sasa nimetambua kwamba hakika Mungu hana ubaguzi.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Then Peter opened his mouth, and said, Of a truth I perceive that God is no respecter of persons:
In Context
35Mtu wa taifa lolote anayemcha Mungu na kutenda haki anapokelewa naye.
Cross References
Matthew 5:2naye akaanza kuwafundisha:
Luke 20:21Hao wapelelezi wakamwambia, “Mwalimu, tunajua kwamba unasema na kufundisha mambo ya kweli; tunajua kwamba wewe huna ubaguzi; wewe wafundisha ukweli juu ya njia ya Mungu.
Romans 2:11Maana Mungu hambagui mtu yeyote.
Ephesians 6:9Nanyi mnaotumikiwa, watendeeni vivyo hivyo watumwa wenu, na acheni kutumia vitisho. Kumbukeni kwamba ninyi pia kama vile wao, mnaye Bwana yuleyule mbinguni, kwake cheo cha mtu si kitu.